iqna

IQNA

Muslim 500
Msomi wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Aisha Bewley, mtarjumi na mfasiri mashuhuri wa Kiarabu-Kiingereza, ametajwa kuwa mwanamke wa Kiislamu wa mwaka katika toleo la 2023 la Muslim 500 , chapisho ambalo linawasifu Waislamu wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani.
Habari ID: 3476143    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24